Saturday, December 24, 2016

Mr. Bigeso Makenge ~ On behalf of my Family and Myself, may I wish you a blessed holiday season. May this Christmas bring you comfort, joy, peace and happiness to last throughout the coming year 2017!
In Mourning of our Beloved Mother Rhobi Nyamakindi

Thursday, December 1, 2016

Ukoo wa Genchwele Nyamakenge II

Pius Maro Ruge Kanitoa Tongo Tongo

Kumbe Rhobi Nyarughe first born wa babu yetu Ruge Sangi ndo huyu Rhobi Nyachacha ambae ni mama yake na Bibi yetu Genchwele Nyamakenge. Kama nilivyosema awali huyu Bibi yetu alikuwa na nguvu sana maana haiwezekani kwa mila na desturi zetu za kengoreme first born apewe Jina la kutoka kwa mama badala ya kutoka kwa Babu yetu Ruge Sangi.

Inasemekana kuwa Babu yetu Ruge Sangi alimpenda sana Bibi yetu Genchwele Nyamakenge ndo maana Bibi yetu alikuwa na nguvu sana na mpaka wakati mwingine rafiki ndugu na Jamaa wa babu yetu walihisi kama anatawaliwa na bibi lakini alikuwa anampenda sana.

Sasa bibi yake Genchwele Nyamakenge aliitwa Bhoke Nyamatwigha, nadhani ndo huyu Bhoke Nyarughe!!!

Imeandikwa na Bigeso Makenge

Ukoo wa Genchwele Nyamakenge

Genchwele Nyamakenge ni mke wa Ruge Sangi aliezaa watoto 18 akiwemo Rhobi Ruge, Bega Ruge, Makenge Ruge, Makore Ruge, Graita Ruge, Bhoke Ruge, Tanasi Ruge, Moremi Ruge na Maro Ruge (Rtd Captain).

Baba yake Genchwele Nyamakenge aliitwa Makenge O Bigheso na Mama yake aliitwa Rhobhi Nyachacha.

Mwandishi wa haya anaitwa Bigeso Makenge Ruge.

Thursday, April 9, 2015

Tuesday, January 27, 2015